
Kumekuwa
na malalamiko mengi kutoka kwa wafanyabiashara kuhusiana na wateja kudharau biashara
zao au hata kutopata wateja wanaothamini biashara zao. Hii inatokana na sababu
kadhaa ambazo huenda zikawa upande wa mfanyabishara au hata mteja mwenye pia.
Kuna mambo
kadhaa ambayomfanya biashara anatakiwa kuyafanya ili kuifanya biashara yake kuwa
na...